Mfumo Rahisi wa Mauzo na Stoo kwa Duka Lako
Dhibiti mauzo ya haraka kaunta, stoo, madeni ya wateja na ripoti za faida halisi kwa urahisi kwenye kifaa chochote.
Kwanini Makini POS?
Imeundwa maalum kwa maduka ya Tanzania — nyepesi, ya haraka, na bila usumbufu.
Mauzo ya Haraka
Toa risiti kwa sekunde 3 kwa kuprint au kutuma WhatsApp mara moja.
Malipo Yote ya Simu
Pokea M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money na HaloPesa bila makosa.
Rahisi Kujifunza
Muuzaji yeyote anaelewa na kuanza kuuza ndani ya dakika 15 kwa Kiswahili.
Usimamizi wa Madeni
Fuatilia wanaodaiwa na fanya malipo ya FIFO kiotomatiki.
Faida Halisi (Net Profit)
Ona faida halisi ya kila siku baada ya kutoa matumizi ya duka.
Kifaa Chochote
Tumia simu, tablet, iPad au kompyuta ya mezani uliyonayo tayari.
Kila Kitu Unachohitaji
Kuanzia mauzo ya asubuhi hadi hesabu za faida jioni, kila kitu kipo wazi.
Keshia ya Haraka
Mauzo ya haraka kaunta, punguzo, shikilia kapu, na risiti papo hapo.
Stoo & Tahadhari
Ona bidhaa zilizobaki na pokea tahadhari hisa inapopungua.
Madeni ya Wateja
Futa daftari la karatasi. Rekodi mikopo na tuma taarifa ya deni WhatsApp.
Matumizi & Kodi
Rekodi matumizi ya kila siku ili kuona faida yako halisi (Net Profit).
Wasambazaji & Oda
Tengeneza oda za manunuzi na sasisha bei za stoo kiotomatiki.
Ripoti za Faida
Tazama bidhaa zinazoongoza kwa faida, mauzo kwa keshia, na pakua Excel.
Muonekano wa Mfumo
Bofya hapa chini kujionea kurasa halisi za Makini POS.
Keshia ya Mauzo ya Kaunta
Mauzo ya haraka kwa sekunde chache kwenye skrini ya kugusa au PC.
Inafaa Duka Lolote
Imeundwa maalum kwa maduka ya rejareja na jumla Tanzania.
Maduka ya Rejareja & Minimarts
Kasi ya kutoa risiti kwenye foleni na kusoma barcode.
Maduka ya Dawa & Vipodozi
Tahadhari ya dawa kuisha na usahihi wa bei za kuuzia.
Vifaa vya Ujenzi (Hardware)
Usimamizi wa vipande, katoni na mikopo kwa mafundi.
Vipodozi na Nguo (Boutiques)
Tofautisha rangi na saizi, na risiti za WhatsApp papo hapo.
Migahawa, Baa & Cafes
Kushikilia maagizo mezani, gawa bili na matumizi ya jikoni.
Maduka ya Jumla & Usambazaji
Kikomo cha mikopo, quotation za haraka na ripoti za faida.
Gharama Nafuu Bila Siri
Hakuna kikomo cha idadi ya bidhaa, mauzo, wala wafanyakazi.
Mwezi 1 (Starter)
TZS 15,000 kwa mwezi
Miezi 3 (Biashara)
Okoa 10%TZS 40,500 kila miezi 3
Mwaka 1 (Inayopendwa)
Okoa 30%TZS 126,000 kwa mwaka mzima
Wafanyabiashara Wanasema Nini?
Ushuhuda wa maduka yanayotumia Makini POS kote nchini.
“Makini POS imenisaidia kurekodi kila mauzo kwa usahihi. Sasa naona faida yangu ya kila siku moja kwa moja kwenye simu yangu.”
“Daftari la madeni lilikuwa linatupotezea wateja. Sasa mfumo unatuma risiti ya WhatsApp papo hapo na wateja wangu wanafurahia sana.”
“Mifumo mingine ilikuwa migumu na yenye Kiingereza kigumu. Makini POS iko kwa Kiswahili na vijana wangu wa kaunta wameielewa haraka.”
Una Maswali? Tuna Majibu
Majibu ya haraka kuhusu matumizi na malipo ya Makini POS.
Uko Tayari Kuboresha Duka Lako Leo?
Jiunge na mamia ya maduka yanayodhibiti mauzo na faida zao kwa urahisi.